Jumamosi, 22 Februari 2014

TIBA ASILI JUU YA UTASA


Utasa  ni  changamoto  inayo wakabili watu  wengi  hapa  Tanzania  na  duniani  kwa  ujumla.
Zipo tiba  mbalimbali  za  asili  ambazo  zinatibu  tatizo  la  utasa.
Miongoni  mwa  tiba  hizo  ni  pamoja  na  hii  ifuatayo ;

MAHITAJI :
i.                     Unga  wa  Habbat  Sawdah.
ii.                    Unga  wa  Uwatu
iii.                 Mbegu  Ya  Figili.
iv.                 Asali
v.                   Maziwa  Ya  Ngamia.


Atachukua unga wa Habbat-Sawdaa, unga wa uwatu na mbegu ya figili kwa vipimo sawa, atakula kijiko kimoja asubuhi na jioni ilihali imekorogwa katika nusu kikombe cha asali, baadae
MATAYARISHO
i.        Chukua  vijiko  viwili  vya  vya  chai vya  unga  wa  Habbat  Sawdah
ii.    Changanya  na  kijiko  kimoja  kikubwa  cha chakula  cha  unga  wa  uwatu
iii.       Ongeza   kijiko kimoja cha  chai  cha  unga wa   mbegu  moja  ya  figili.
iv.Changanya  na   asali  nusu  kikombe  kisha  koroga  halafu  tumia  kunywa  mara  mbili  kwa  siku  kwa  muda  wa  siku  ishirini  na  moja.
v.     Ukisha  kula  dawa  yako, fuatisha  na  kunywa  glasi moja  ya  maziwa  ya  ngamia.

Baada  ya  siku  ishirini  na  moja, tatizo  lako  la  utasa  litakuwa  limeondoka

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni