Jumamosi, 22 Februari 2014

>

HII NI FEDHEHA KUBWA!! ..BAADA YA KUTOSWA AANIKA PICHA ZA MPENZI WAKE





Baada ya jamaa mmoja kupewa kibuti na mpenzi wake kwa kutowajibika kazini jamaa kaona ni bora kumweka ex wife  wake huyo mtupu mbele ya kadamnasi,

Wakaka na wadada nadhani huu ni wakati wa kujitambua na kuachana na mambo ambayo yanatutia aibu wenyewe na ambayo hayaendani na utamaduni wetu.Hivyo nawaomba tuache tabia ya kuiga, kaka ukitoswa jipange mapenzi hayalazimishwi





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni