Jumapili, 23 Februari 2014
Jumamosi, 22 Februari 2014
MADAWA YA KULEVYA YAZIDI KUSHAMILI NCHINI TZ
Madawa ya Kulevya; Tanzania yazidi kujizolea umaarufu ulimwenguni!
- Ufaransa yatoa 'Documentary' ya utumiaji wa madawa ya Kulevya Tanzania; ikigusa baadhi ya maeneo ya DSM na Zanzibar.
- Yasemekana tani zaidi ya alfu ishirini na mbili (22,000) hupita kila mwaka Zanzibar kikiwa kama kituo cha kupitishia madawa ya kulevya toka Afghanistan. Tanzania yatajwa kuwa na mateja zaidi ya laki mbili na hamsini (250,000) nchi nzima!

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)