Jumapili, 6 Aprili 2014

CHEKI MAPOZI YA MDOGO WAKE NA WEMA SEPETU.

  



Huyu ndiye mrembo atakayehusika kwenye kichupa cha msanii maarufu kama Jaco Beats kwenye wimbo wake mpya unaoitwa walionuna,
 Video queen huyu chipukizi anayefanya vizuri na ataendelea kufanya vizuri ni mwanafunzi wa CBE Dodoma wa mwaka wa kwanza ambaye anatambulika kwa Jina la Caro ambapo wengi wao hudhani yeye ni mmoja kati wa ndugu wa Beautifully Unyinye,Madam Wema sepetu kwa jinsi walivyofanana,


Kaa tayari sasa kwa kumwona kwenye kichupa cha Jaco Beats - Walionuna ambacha soon kitakuwa hewani. 








Hakuna maoni:

Chapisha Maoni